Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha kukaza fuvu bila sababu hata kwako akija mgeni azma kuna mambo uyafanye enewei nisipoteze mda kubishana na m2 ambae hata hio jeuri ya kwenda na bodaboda mjini hana au hata akisikia ndg yake anaenda atamkataza kwa lugha zote.We endelee na uanarakati wako uchwala usiokua na kichwa wala miguu. Mwisho endelea kufananisha makao makuu ya UN na TZ alafu kam vile uliona panavyokua pakiwa na mikutano mikubwa kama hii
 
Halafu unasema huna lugha chafu, kumbe mpumbavu mmoja. Hapa unazungumzia utawala wa sheria mjinga wewe hatuzunfumzii uchawa juha wewe
 
Halafu unasema huna lugha chafu, kumbe mpumbavu mmoja. Hapa unazungumzia utawala wa sheria mjinga wewe hatuzunfumzii uchawa juha wewe
Onyesha sehem niliotumia lugha chafu. Mtu akija na mtizamo tofaut na nyie mnamuita chawa,mnataka kila sku tupige pambio moja?
 
Onyesha sehem niliotumia lugha chafu. Mtu akija na mtizamo tofaut na nyie mnamuita chawa,mnataka kila sku tupige pambio moja?
Wewe siyo mzima. Nikomaze fuvu, sina jeuri ya kwenda mjini hata na boda boda. Hizo ni sawa? Nilimwita babu yenu zinjathropis ulisemaje? Chizi tu chawa wa CCM
 
Wewe siyo mzima. Nikomaze fuvu, sina jeuri ya kwenda mjini hata na boda boda. Hizo ni sawa? Nilimwita babu yenu zinjathropis ulisemaje? Chizi tu chawa wa CCM
Hapo ndo nimetumia lugha chafu? nimetweza utu wako apo? Aya mweny akili chawa wa CHADEMA
 
Hapo ndo nimetumia lugha chafu? nimetweza utu wako apo? Aya mweny akili chawa wa CHADEMA
Sasa una hakika mimi sina jeuri ya kwenda mjini hata na boda boda?

Nikwambie kitu! Walio CCM.
Kwanza ni wale wanufaika na mfumo wa utawala wa CCM.
Pili wanaotaka security ya maisha yao kama biashara na kazi zao.
Tatu wapumbavu machawa mnaopenda CCM kama mimi ninavyoipenda Yanga maana hata ukiniuliza siju. Wanaua, mafisadi, wanapora uchaguzi wezi wa rasilimali mjinga uko hapa kuwatetea, na kundi la tatu ndio linakuhusu
 
Tuache utan mkuu wewe kesho unaeza enda mjini na bodaboda? Kwaio hao CHADEMA ndo unaamini wakija hawatoyafanya hayo? Mwisho hilo group uliloniweka nitoe tafadhali
 
Tuache utan mkuu wewe kesho unaeza enda mjini na bodaboda? Kwaio hao CHADEMA ndo unaamini wakija hawatoyafanya hayo? Mwisho hilo group uliloniweka nitoe tafadhali
Nakutoaje kwa mfano? Prove kama wewe uko hayo makundi mawili ya juu.

Unajua hayo makundi mawili ya juu huwezi kuwakuta wanaitetea CCM sababu wanajua wao wapo kimaslahi zaidi, hivi unafikiri Rostam Aziz au Rithwan Kikwete atakaa kutetea CCM mitandaoni? Kazi kwenu nyie kajamba nani
 
Mimi sio MCCM bali siikubali hata kidogo CDM
 
Naungana na Bibi Maria Surungi. NO reforms, No Elections..

Mpaka kieleweke.

Lipo jambo huko na sidhani lina uhusiano wowote ule na Ujio wa Mkutano wa kujichotea Misaada.
 
Halafu Lissu akiwaeleza ukweli, utasikia mropokaji.
Yaan mkuu, kiuhalisia Lisu sio mbaya kama tunavyoaminishwa. Nikama Chota Chama wanayana walivyokuwa wanamwona mwiba akiwa akiwa simba. Ila saiv wanataman awe tishio ×💯.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…