didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Acha kukaza fuvu bila sababu hata kwako akija mgeni azma kuna mambo uyafanye enewei nisipoteze mda kubishana na m2 ambae hata hio jeuri ya kwenda na bodaboda mjini hana au hata akisikia ndg yake anaenda atamkataza kwa lugha zote.We endelee na uanarakati wako uchwala usiokua na kichwa wala miguu. Mwisho endelea kufananisha makao makuu ya UN na TZ alafu kam vile uliona panavyokua pakiwa na mikutano mikubwa kama hiisasa huo ndio upuuzi, unaadvocate nchi isiyofuata utawala wa sheria? Niambie upuuzi huu nchi gani ya wastaarabu unafanyika?
Makao makuu ya UN umeshasikia mambo haya yanafanyika? Au kuwa na bunduki na askari ni kigezo cha kuvunja sheria? Maana tumeona watu wakitekwa kuuawa na hakuna hatua yeyote