YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Tuliza gubu kijana wa Mbowe. Kwahiyo Mbowe angeshinda leo mngelianzisha? Maana naye dakika za mwisho aliahidi mapambano. Halafu unajua kuwa reform ni azimio la kamati kuu ya Mbowe? Sisi Mbowe tunamheshimu shida ni nyie machawaz.
Mbowe angeshinda uchaguzi halafu yangetokea haya yanayoendelea mngemsakama kuwa angekuwa mtu wenu asingekubali na angelianzisha. Kwa kusema kweli mmejiponza wenyewe kwa maneno ya " hatutaki busara, tunataka siasa za nginjanginja".
Mbowe mlimvunjia sana heshima na bado kuna wenzenu wanaendelea kumtusi.
Watu kuonyesha wazi kuwa wanatofautiana nanyi ni afya kwa chama. Mlitakiwa kupanga namna ya kujibu hoja zao.