komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Hujui kuna watanzania wamekwama Goma au unajua niniMawazo finyu na akili finyu kutoka kwako enewei ndo uhuru wa maon huu ngoja tukuache tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kuna watanzania wamekwama Goma au unajua niniMawazo finyu na akili finyu kutoka kwako enewei ndo uhuru wa maon huu ngoja tukuache tu
😸Tena sana tu😎
Ndo kazi ya police hio? na jeshi kazi yake nn? police wanafundishwa mbinu za vita?Hujui kuna watanzania wamekwama Goma au unajua nini
Hivi wanatumia ukumbi mmoja?YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Joyce Mukya una hasira sana,kubali matokeo.CHADEMA haiendi popote chini ya huyo mhuni wa ubelgiji
Umesema kweli mimi chawa wa CDMSawa chawa wa CDM
Mbowe angeshinda uchaguzi halafu yangetokea haya yanayoendelea mngemsakama kuwa angekuwa mtu wenu asingekubali na angelianzisha. Kwa kusema kweli mmejiponza wenyewe kwa maneno ya " hatutaki busara, tunataka siasa za nginjanginja".Tuliza gubu kijana wa Mbowe. Kwahiyo Mbowe angeshinda leo mngelianzisha? Maana naye dakika za mwisho aliahidi mapambano. Halafu unajua kuwa reform ni azimio la kamati kuu ya Mbowe? Sisi Mbowe tunamheshimu shida ni nyie machawaz.
Sawa mr. chawa me siwapend machawaUmesema kweli mimi chawa wa CDM