Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuendane na teknolojia.

Haina haja ya kugombana, afanye Zoom Meeting na live streaming kila anayetaka kuuona mkutano aufuate huko.
Hv kumbe hata huo mkutano wa nishati wangeweza kutumia njia kama zoom kupunguza gharama na muda wa viongozi kusafiri. Nawaza kama ulivyowaza
 
Mbona kama hakuna uhusiano wa mkutano wa marais wa Africa na press ya Chadema? Anyway, mambo ya intelligence labda hatuwezi kujua sana.
Unadhani Chadema kama chama kikuu Cha upinzani kikitangaza Maandamano huo mkutano utaendelea?

Huitaji Akili kubwa kuelewa hili
 

Sema Chadema hapa nitasema wachokozi. Yaani jengo hilo hilo kunafanyika Mkutano wa Nishati nao wanataka kuongea na waandishi? The same place? Siyo sawa. Wangeenda fanyia sehemu nyingine.
 
YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Sasa kumfukuza mwehu ukiwa uchi ili upate nguo zako mbele za watu nani anaoneka chizi fresh. Hapo jeshi kwenda kuzingira jengo la chama cha upinzani kinapeleka ujumbe gani kwa hao wageni? Nani anakunywa uji hapo?
 
Mimi mwenywe nimetoka na ndoo na kopo la kuogea nasema niende kuoga chooni (mtaani kwetu tunatumia vyoo vya nje), nikashangaa ulinzi shirikishi wamenizungusha, wananiambia nirudi ndani hadi wageni watakapo ondoka nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…