Na kweli Tanzania tuko kwenye ujima nimekuelewa mkuu.Marekani siyo Tanzania 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli Tanzania tuko kwenye ujima nimekuelewa mkuu.Marekani siyo Tanzania 😀
Hv kumbe hata huo mkutano wa nishati wangeweza kutumia njia kama zoom kupunguza gharama na muda wa viongozi kusafiri. Nawaza kama ulivyowazaTuendane na teknolojia.
Haina haja ya kugombana, afanye Zoom Meeting na live streaming kila anayetaka kuuona mkutano aufuate huko.
Unadhani Chadema kama chama kikuu Cha upinzani kikitangaza Maandamano huo mkutano utaendelea?Mbona kama hakuna uhusiano wa mkutano wa marais wa Africa na press ya Chadema? Anyway, mambo ya intelligence labda hatuwezi kujua sana.
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
View attachment 3215428
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Ameenda kufanyia kwenye ukumbi wao? kwamba watu wasifanye majukumu yao kisa ugeni usiokuwa na vichwa wala miguu! shame on youMnyika aache ujinga Nchi ina ugeni mkubwa 😂
Binafsi naamini hivyo pia.Hv kumbe hata huo mkutano wa nishati wangeweza kutumia njia kama zoom kupunguza gharama na muda wa viongozi kusafiri. Nawaza kama ulivyowaza
Ni Sawa tu na Marekani walivyoshindwa kuzima moto huko LA 😂😂😂😂😂Na kweli Tanzania tuko kwenye ujima nimekuelewa mkuu.
Ni mambo ya kijinga sn, Marekani anapokea ma-Rais wa dunia nzima na kazi zinaendeendelea kama kawa, hapa hakuna jipya lakini kazi zote zimesimamaMbona kama hakuna uhusiano wa mkutano wa marais wa Africa na press ya Chadema? Anyway, mambo ya intelligence labda hatuwezi kujua sana.
Ngoja tuendelee kuishi humu humu... Shule kufungwa, watu kutofanya kazi no press conference.Ni Sawa tu na Marekani walivyoshindwa kuzima moto huko LA 😂😂😂😂😂
Sasa kumfukuza mwehu ukiwa uchi ili upate nguo zako mbele za watu nani anaoneka chizi fresh. Hapo jeshi kwenda kuzingira jengo la chama cha upinzani kinapeleka ujumbe gani kwa hao wageni? Nani anakunywa uji hapo?YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Ni shamba na ulimbukeni wa kupitiliza.Nilionya hapa Jana 🐼
Mimi mwenywe nimetoka na ndoo na kopo la kuogea nasema niende kuoga chooni (mtaani kwetu tunatumia vyoo vya nje), nikashangaa ulinzi shirikishi wamenizungusha, wananiambia nirudi ndani hadi wageni watakapo ondoka nchini.Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422