Makamu Mwenyekiti Jana kafanya Mkutano Mnazi MmojaMkutano usifanyike wakati huu kuna ugeni mkubwa
Lisimame wapi? Hakuna mtu mwenye time now kwamba wanamkutano, ni Tanzania pekee tu ndipo shule zinafungwa na polisi kuzingira chama cha siasaNi kama vile huo mkutano inabidi shughuli nyingine zote zisimame sijui na kwingine kunakwua hivi. Mfano kama kuna mkutano wa baraza kuu la UN pale newyork kiila jambo huwa linasimama?
Usalama gani unaouzungumzia,ama ni uharibifu gan ama fujo gani zingeweza kuletwa katika mkutano huo,yan ni sawa na kupewa jina la utani na ulikatae kwa nguvu ndivyo ambavyo linazidi kushikaNiliwaambia kiusalama hiyo Press haitawezekana
waogopa kwamba watakosa wasikilizaji, hao ma-Raisi itabidi watege sikio na wasikie Chadema wanasema nini..ndio akili yao hiyo.Kwani na yeye katibu mkutano na wandishi wa habari anafanyia humo humo kwenye ukumbi wa mkutano wa nishati ya gas?
Sahihi kabisaNi majambazi yanayovaa uniform
Polisi wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Wanafuata sheria au wanafuata maagizo?Usiwalaumu Polisi, wao wanatekeleza maagizo tu na hata wao hawana uwezo wa kukataa. Lawama ziende kwa waliowaagiza
Hata hao marais wangeweza kufanya zoom meeting.Kwa jinsi tech ilivyo, hakuna haja ya kukutana na hao waandishi. Zoom meeting nk si zipo, wafanye online meeting warushe online watu wapate habari, after all, ni press.
Ukaandika kwa herufi kubwa kabisa.Na vyuo je?YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Sasa Tz kuna intelligence ganiπββοΈπββοΈπββοΈMbona kama hakuna uhusiano wa mkutano wa marais wa Africa na press ya Chadema? Anyway, mambo ya intelligence labda hatuwezi kujua sana.
Tuna upumbavu wa hali ya juu sanaJeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
View attachment 3215428
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Kweli samia hana hoja, yaani anataka kila kitu kisifanyike ili atangazwe yeye tu. Fungeni maduka na baa zote nchi nzimaJeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
View attachment 3215428
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni