othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Kwani wageni watafatilia live 🤣? Si wako busy na Mkutano wao auwanaogopa wageni wasije wakasikia
Hivi unavyofikiria kamanda Jumanne akipigiwa sim kwamba huo mkutano usifanyike anaweza kumhoji IGP au Katibu Mkuu kiongozi kwamba atazuia kwa sheria ipi?Polisi wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Wanafuata sheria au wanafuata maagizo?
Ndio maana wakipelekwa kwenye uga wa sheria wana chimba
Ofcourse ata follow order, and najua why, kuna loophole kwenyr sheria zetu zinaruhusu hiloHivi unavyofikiria kamanda Jumanne akipigiwa sim kwamba huo mkutano usifanyike anaweza kumhoji IGP au Katibu Mkuu kiongozi kwamba atazuia kwa sheria ipi?
Serikali dhaifu sana hui,police mentally and economicallyMuda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar Es salaam. Hii ni muda mchache kabla ya kuanza kwa press conference ya Katibu Mkuu wa Chama, saa tano asubuhi.
Ya WasiraSasa Tz kuna intelligence gani🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mnamuogopa Lissu maana anajibiwa na viongozi wote wa CCM na chawa wakeLissu yupo atawakemea watanywea maana Ana mdomo mpana!!
Upumbavu wetu utakuwa wa viwango vya juu sana mangi!!Hata hao marais wangeweza kufanya zoom meeting.
Kweli wewe mjanjaKwani na yeye katibu mkutano na wandishi wa habari anafanyia humo humo kwenye ukumbi wa mkutano wa nishati ya gas?
Kwamba CCM inawahara CHADEMA?Nilionya hapa Jana 🐼
Kaa chini itabidi usimame juu huwezi toa points hizi halafu ukae chini 😂😂Usiwalaumu Polisi, wao wanatekeleza maagizo tu na hata wao hawana uwezo wa kukataa. Lawama ziende kwa waliowaagiza
Nilijua tu nitakutana na kauli kama hii....Lissu yupo atawakemea watanywea maana Ana mdomo mpana!!
Well, haya ndio maridhiano anayohubiri sa 100 kila siku?Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
View attachment 3215428
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Kuna vitu vinachekesha sana hii bongo 🤣Kwani na yeye katibu mkutano na wandishi wa habari anafanyia humo humo kwenye ukumbi wa mkutano wa nishati ya gas?
Hii ndiyo hoja. Wanahisi atakachosema Mnyika kitaua habari ya mkutano😆😆😀Musiba aliwaambia wasanii hawakusaidia kuhamisha mjadala wa chadema na waliisusa ccm, sasa mkutano wa wakuu wa nchi halafu press ya mnyika mkutano utakosa coverage.
Wanahatarisha vipi usalama kwa kufanya press, wanaogopa CHADEMA itatrend?Niliwaambia kiusalama hiyo Press haitawezekana
kuna muda wa mapumziko mkuuKwani wageni watafatilia live 🤣? Si wako busy na Mkutano wao au