Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Polisi wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Wanafuata sheria au wanafuata maagizo?

Ndio maana wakipelekwa kwenye uga wa sheria wana chimba
Hivi unavyofikiria kamanda Jumanne akipigiwa sim kwamba huo mkutano usifanyike anaweza kumhoji IGP au Katibu Mkuu kiongozi kwamba atazuia kwa sheria ipi?
 
Hivi unavyofikiria kamanda Jumanne akipigiwa sim kwamba huo mkutano usifanyike anaweza kumhoji IGP au Katibu Mkuu kiongozi kwamba atazuia kwa sheria ipi?
Ofcourse ata follow order, and najua why, kuna loophole kwenyr sheria zetu zinaruhusu hilo
While nchi za wenzetu mwenye uwezo huo ni mtu mmoja tu, tena kwa maandishi
 
Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar Es salaam. Hii ni muda mchache kabla ya kuanza kwa press conference ya Katibu Mkuu wa Chama, saa tano asubuhi.
Serikali dhaifu sana hui,police mentally and economically
 
Usiwalaumu Polisi, wao wanatekeleza maagizo tu na hata wao hawana uwezo wa kukataa. Lawama ziende kwa waliowaagiza
Kaa chini itabidi usimame juu huwezi toa points hizi halafu ukae chini 😂😂
 
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.

View attachment 3215420

Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

View attachment 3215428

Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.

View attachment 3215422

Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Well, haya ndio maridhiano anayohubiri sa 100 kila siku?
 
Musiba aliwaambia wasanii hawakusaidia kuhamisha mjadala wa chadema na waliisusa ccm, sasa mkutano wa wakuu wa nchi halafu press ya mnyika mkutano utakosa coverage.
Hii ndiyo hoja. Wanahisi atakachosema Mnyika kitaua habari ya mkutano😆😆😀

Kumbe kwa kuzuia mkutano wa CHADEMA ndiyo wametengeneza habari.
 
Back
Top Bottom