Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa jinsi tech ilivyo, hakuna haja ya kukutana na hao waandishi. Zoom meeting nk si zipo, wafanye online meeting warushe online watu wapate habari, after all, ni press.
Well ni ushauri mzuri lakini kuna sababu za kulazimishwa kufanya hivyo?
 
YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Wao siyo chawa kama wewe, wanavunja sheria ipi?
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
Akili hamna kwan hi press akifanya tarehe 29 kuna nn au akifanyia online kuna tatizo gan? Tuna jambo la kitaifa leo msitusumbue vipanya nyie
 
Lisu kazi imeanza sasa, wameanza kukupima upepo
 
Hivi hawa chadomo mbona wanapenda sana kuchafua taswira ya nchi yetu? Kuna dharula gani ya huo mkutano wao na waandishi? Wanafanya haha kwa Faida ya nani?
 
Hivi hawa chadomo mbona wanapenda sana kuchafua taswira ya nchi yetu? Kuna dharula gani ya huo mkutano wao na waandishi? Wanafanya haha kwa Faida ya nani?
Huo mkutano wao unachafuaje hiyo taswira ya nchi yetu?

Kitu gani kimekufanya uone kuwa huo mkutano ni wa dharula?
 
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
Kwahiyo hiyo ndiyo common sense ya watawala??
 
Hivi hawa chadomo mbona wanapenda sana kuchafua taswira ya nchi yetu? Kuna dharula gani ya huo mkutano wao na waandishi? Wanafanya haha kwa Faida ya nani?
Jinga wewe, CHADEMA wasifanye shughuli zao kwa sababu zipi za msingi haswa?
 
Akili hamna kwan hi press akifanya tarehe 29 kuna nn au akifanyia online kuna tatizo gan? Tuna jambo la kitaifa leo msitusumbue vipanya nyie
Kwani ikifanyika leo ingeathiri nini? CCM hamna akili hata punje.
 
Wakati wanatifuana Polisi CCM ilikuwa haina shida na press conference zao ahta zingefanyika kila saa maana walikuwa wanafurahi kuwa zinaua chama. Sasa wamemaliza kutifuana sasa press conference zao hawazitaki tena.
Jana CCM wamefanya mkutano, tumemsikia Wassira na Makalla, wao ruhusa ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…