chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Well ni ushauri mzuri lakini kuna sababu za kulazimishwa kufanya hivyo?Kwa jinsi tech ilivyo, hakuna haja ya kukutana na hao waandishi. Zoom meeting nk si zipo, wafanye online meeting warushe online watu wapate habari, after all, ni press.