ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao
Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri
Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na Watanzania
Jeshi la Uhamiaji, Jeshi la Magereza n.k ni majeshi yanaheshimika sana
Kuna wimbi la watu kutekwa na kupotea kabisa katika nchi yetu, ni uhalifu unaotupa hofu wananchi na kujiuliza hili jeshi la police lipo Kwa ajili ya wananchi?
Uhalifu na rushwa unaotuhumiwa nao
Sasa wajitokeza wajisafishe Kwa vitendo au wabadilike
Leo mzee kibao wa CHADEMA hajulikani halipo na alikamatwa mchana kweupe Tegeta mjini na kufungwa pingu, Sasa Leo jeshi linasema halijui alipo.
Yaani Tanzania tumefikia hatua watu ambao sio vyombo vya usalama kumteka mtu kumfunga pingu na kupotezwa Raia.
Tupeni majibu mazuri,