Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wavuta bangi uwanjani MECCO Kunduchi Mtongani

Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wavuta bangi uwanjani MECCO Kunduchi Mtongani

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye.

Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii.

Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao.

Wananchi wanaumia wao wapo tu?

Kama hawa mateja wanawashinda majambazi mtaweza nyie?
 
Kama unajua wavuta bangi walipo ,ahilikiana na uongozi wa mtaa, Kijiji na kata ,muwakamate,ulinzi ni kazi yetu sote.
 
Halafu wezi wa mtongani kunduchi wanalindana sana kama ni mwenyeji akidakwa anapelekwa polisi Kama ni mgeni akidakwa wanauaa[emoji57]
 
Back
Top Bottom