Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Jun 1, 2021 #1 Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye. Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii. Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao. Wananchi wanaumia wao wapo tu? Kama hawa mateja wanawashinda majambazi mtaweza nyie?
Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye. Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii. Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao. Wananchi wanaumia wao wapo tu? Kama hawa mateja wanawashinda majambazi mtaweza nyie?
N NSHOMA FRANCOUS JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 698 Reaction score 325 Jun 1, 2021 #2 Kinoamiguu said: Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye... Click to expand... Wanasubiri raisi afanye ziara huko afu apewe kero hizo..
Kinoamiguu said: Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye... Click to expand... Wanasubiri raisi afanye ziara huko afu apewe kero hizo..
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jun 1, 2021 #3 Wanashindwa na TAKUKURU wamemkamata Sabaya!!!
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,013 Reaction score 10,000 Jun 1, 2021 #4 Kama unajua wavuta bangi walipo ,ahilikiana na uongozi wa mtaa, Kijiji na kata ,muwakamate,ulinzi ni kazi yetu sote.
Kama unajua wavuta bangi walipo ,ahilikiana na uongozi wa mtaa, Kijiji na kata ,muwakamate,ulinzi ni kazi yetu sote.
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,214 Jun 1, 2021 #5 Halafu wezi wa mtongani kunduchi wanalindana sana kama ni mwenyeji akidakwa anapelekwa polisi Kama ni mgeni akidakwa wanauaa[emoji57]
Halafu wezi wa mtongani kunduchi wanalindana sana kama ni mwenyeji akidakwa anapelekwa polisi Kama ni mgeni akidakwa wanauaa[emoji57]