Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawatie bakora za kutoshaaaMbona hili jambo kwa watu waliosafiri kwa njia ya treni Dar korogwe moshi au Tanga korogwe moshi yalikuwa kawaida kurusha mawe ni vile habari zilikuwa hazitangazwi!
Kabisa iwe fundisho kwa wengine!Wawatie bakora za kutoshaaa
Ova
Mkorea atakuwa anauza kimoja moja kweli au seti ya behewa zimaWawatie bakora za kutoshaaa
Ova
Mitoto sahv hawana adabu kabisaKabisa iwe fundisho kwa wengine!
Shabiby na AboudHao watoto walijukusanya je na kufanya kitu kama hicho kuna watu nyuma ya huo ujuma.
Gt unanikumbusha tulipokuwa wadogo tulipovamia shamba la mzee Thadayo sing'isi tulipokuwa mkong'oto mkali wa haja maamaee.Mitoto sahv hawana adabu kabisa
Hao unawafunga unawalowanisha maji unawapiga bakora za miguu,fimbo mpera
Ova
hao wanaandika tu kwasababu ndani yao wanaupinzani yani kitu chochote cha serikali wao wanapinga! anashindwa kuelewa huyohuyo mtoto wa miaka 12 ama 16 anaweza kumpopoa na jiwe akamuharibu hata jicho!kwani kioo kuvunjika kinahitaji jiwe la ukubwa gani mkuu
hata kokoto tu inavunja kioo, inategemea nguvu ya mrushaji
Mwaka fulani geita vijijini watoto walirusha mawe nikiwa kwenye gari wakavunja kioo , uzuri niliwaona nikawakariri sura zao. Baada ya siku kadhaa nikapita njia ile ile nikawaona nikapinguza mwendo wakataka kukimbia lakini nikawahi kusimamiaha gari ,mkononi nina kitita cha pesa (noti) huku nawaita hasa yule mkubwa (umri kama miaka 9) nikamwambia njoo uchukue hela yake mama hii umpelekee.Hayo mawe yalikuwa makubwa kiasi gani.. Au vioo ni vya kichina?
unajiuliza jiwe la kuvunja kioo lina ukubwa ganiHapa sasa ndio pa kujiuliza
Watakuambia ulete picha ya kioo cha gari lako.Huu ujinga wa kuunga mkono mali za Nchi kuharibiwa kwa sababu tu hupendi wanaongoza Nchi ni ujinga mkubwa.Tanzania ni Nchi yetu wote.Kushabikia uharibifu kwa kutofautiana kisiasa ni kiwango kidogo sana cha kufikiri.Mwaka fulani geita vijijini watoto walirusha mawe nikiwa kwenye gari wakavunja kioo , uzuri niliwaona nikawakariri sura zao. Baada ya siku kadhaa nikapita njia ile ile nikawaona nikapinguza mwendo wakataka kukimbia lakini nikawahi kusimamiaha gari ,mkononi nina kitita cha pesa (noti) huku nawaita hasa yule mkubwa (umri kama miaka 9) nikamwambia njoo uchukue hela yake mama hii umpelekee.
Wakasogea japo kwa wasiwasi , nilipomtia mikononi nilimtandika bakora za kutosha wenzie walikimbia. Baada ya hapo hawakurudia tena kurusha mawe.
Akili za utoto ni shida sana
Ni ujinga kufurahia miundombinu iliyojengwa kwa hali na Mali kuharibiwa kwasababu za kijinga kbsWatakuambia ulete picha ya kioo cha gari lako.Huu ujinga wa kuunga mkono mali za Nchi kuharibiwa kwa sababu tu hupendi wanaongoza Nchi ni ujinga mkubwa.Tanzania ni Nchi yetu wote.Kushabikia uharibifu kwa kutofautiana kisiasa ni kiwango kidogo sana cha kufikiri.
Nimeshau shauri mara kadhaa. Mradi huu ni mradi wa hela nyingi. Haiwezekani uchezewe kwa namna yeyote ile. Lazima tuulinde kwa wivu mkubwa. Nashauri mradi wote ujengwe fence ya umeme watoto, au watu wa namna yeyote ile wasiguse mradi huu. Otherwise tutaendelea kuhujum na mwisho utakufa. Ujengwe fence. Ukienda Ulaya njia yao yote imewekewa uzio. Tufanye hivyo. Kama tumejenga sgr tinashindwaje kujenga fence. Tena kwakuwa mkandarasi bado yupo site ni vema aongezewe kipengele hicho.Picha ya vioo vilivyovunjwa iko wapi!?
Dah kumbe yule dogo ni wewe nilikupiga cku zile sema kichwa kimekomaa sanaHii ishawahi kunikuta nikiwa na miaka kama sita hivi nilirusha jiwe kwenye gari inayotembea ili nione kipi kina kasi zaidi .dereva alishuka akanikata makonzi mawili akaondoka
Ulikua hujazaliwa mkuuDah kumbe yule dogo ni wewe nilikupiga cku zile sema kichwa kimekomaa sana