Jeshi La Polisi linahitaji mabadiliko ili liwe la kisasa zaidi

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
Siku hizi naambiwa ni Bora ukutane na jambazi akishakupora atakuacha salama kuliko ukutane na Polisi

Ukishawapa tu hela, wanakufunga pingu, wanakupeleka kwako ukawape hela nyingi zaidi, na wakizikosa wanakubambikizia kesi ya kukuta na bunduki.

Jeshi hili linatakiwa mabadiliko kuanzia kwenye kaulimbiu, muundo na uongozi ili liweze kuwa jeshi la kisasa
 
 
Sio la kisasa tu,linalowajibika pia kwa wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…