ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 588
- 208
Mkuu ndio tatizo la maceleb wetu hata uwezo wa kufikiri na kutambua hili baya au zuri hawajui kazi kuchonga midomo kama kasuku na kutafuta umaarufu,pesa ni nembo ya taifa na sheria inakataza kusigina pesa,kwani pesa sio ya mtumiaji tu,ukiwaamba watu wasome na waongeze maarifa unaonekana umepitwa na wakati,kabla hujafanya jambo fikiria pia na upande mwingine,hawa ndio vihiyo wetuNadhani hawafahmu kwamba hela iliyoko mfukoni mwako bado ni mali ya serikali ww unamiliki thamani (value) yake tu. Na pia ni moja ya nembo ya taifa hivyo haipaswi kufujwa ama kudunishwa ktk hali yyte ile itakayoishushia thamani yake. Hii mitandao ni shida waache tu wakutane na pilato
Nani kawaruhusu kuwa na hela bandia,kuwa na hela bandia ni kosa kama huelewi,someni mupate maarifa sio sababu mnajua kubofya visimu vyenu basi mnakuja na hoja za kipuuzi,hivi kweli wewe nawe unajiita GT?hela bandia nazo haziruhusiwi kukanyaga?
Kafanya nini tena huyo mjuajiNaona kuna upepo mbaya unavuma anga za mawingu maana Shaffih Dauda nae yupo jela since ijumaa kwa ishu ya blog yake.
Kumiliki hela bandia ni kosa kubwa zaidihela bandia nazo haziruhusiwi kukanyaga?
TCRA wanadai anaendesha blog kwa domain ya dot com badala ya dot co.tz coz walishatoa maelekezo muda tu wenye blog wote wanatakiwa watumie domain ya dot co.tz yeye naona kagoma, so usishangae akipandishwa kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi.Kafanya nini tena huyo mjuaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23]weka picha ya uyo dada maua, ya sudi kaa nayo
Hapo sasaWanakanyaga mihela halafu wakiumwa kidogo tu wanaanza kututembezea bakuli tuwachangie!! Pumbaf kabisa wawekwe "Rokap"miezi 48 nalabuk!!
Duuh alifanyaje mkuu ile si ya michezo? Au alitia siasa?Naona kuna upepo mbaya unavuma anga za mawingu maana Shaffih Dauda nae yupo jela since ijumaa kwa ishu ya blog yake.