Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

Usikute walikuwa wanakanyaga yale maspecimen
Wapambane na khali
 
Nadhani hawafahmu kwamba hela iliyoko mfukoni mwako bado ni mali ya serikali ww unamiliki thamani (value) yake tu. Na pia ni moja ya nembo ya taifa hivyo haipaswi kufujwa ama kudunishwa ktk hali yyte ile itakayoishushia thamani yake. Hii mitandao ni shida waache tu wakutane na pilato
Mkuu ndio tatizo la maceleb wetu hata uwezo wa kufikiri na kutambua hili baya au zuri hawajui kazi kuchonga midomo kama kasuku na kutafuta umaarufu,pesa ni nembo ya taifa na sheria inakataza kusigina pesa,kwani pesa sio ya mtumiaji tu,ukiwaamba watu wasome na waongeze maarifa unaonekana umepitwa na wakati,kabla hujafanya jambo fikiria pia na upande mwingine,hawa ndio vihiyo wetu
 
Back
Top Bottom