Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kwa hali upepo unavyovuma Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa nguvu zao zote ili makamanda wao na wale wenye rekodi ya unyanyasaji raia, wizi na unyang'anyi waendelee kubaki katika nyadhifa zao na kulinda maslahi yao.
Hii inatokana na somo walilolipata kutoka kwa Rais mpya wa Zambia Mh. Hichilema kuwafuta kazi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wote pamoja na makamanda wote wa mikoa.
Sisi kama wananchi ambao tunataka mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi adui yetu mkubwa na nambari one ni jeshi hili.
Hivyo wakati wote tunapoendelea na mapambano yetu tuzingatie hili. Aidha tuhakikishe tunaweka rekodi sawa ya kuwaorodhesha askari wote waovu na kuwasema hadharani.
Wito kwa wananchi wote ni kuwa udhalimu na silaha za kivita havijawahi kushinda haki po pote duniani bali huchelewesha tu!