Na huko hakuna fine ni kifungoooo tuSasa mahakamani si mtu analipishwa fine vile vile na mahakamani wata hesabu huyu kafanya makosa haya mara ngapi etc...
Kifungu kinasema fine...au kifungo...au vyote kwa pamoja...kwaio unaanza na fine kwanza mara ingine ni kifungo...na mara ya tatu ni vyote..sheria haina muhemuko...😁😁😁Na huko hakuna fine ni kifungoooo tu
Ova
Traffic huchukua hela kwa mtu asiyetambua thamani ya usalama wake.Blah blah blah, na traffic officer's wanaopokea rushwa nao pia straight Mahakamani, my Boss ajali nyingi zinatokea kutokana na barabara kuwa mbovu, nyingi zimejengwa chini ya kiwango, imarisha kitengo cha ukaguzi wa magari ikiwa ni pamoja na kununua mitambo ya kisasa na traffic officer's wawe trained.
Unajionyesha ni jinsi gani ulivyo middle class na umepoteza touch na ground, njoo chini huku mkuu, Sina gari mimi ni mtu wa daladala, na kila siku tunashuhudia jinsi hawa traffic officer's wanavyuchukua rushwa left right, wewe endelea kutumia gari ya baba yako na hope's aliipata kihalali na sio kudhulumu poor3of the poorest,...eti sifungi mkanda!yes gari Sina mkuu!!Traffic huchukua hela kwa mtu asiyetambua thamani ya usalama wake.
Unatembea hujafunga mkanda,utaandikiwaje fine na unataka ufe makusudi!!!!
Traffic wanachukua buku buku au buku mbili kwa dala dala.yess rushwa ni adui wa haki embu nitajie haki ya nani inapotea hapo??Unajionyesha ni jinsi gani ulivyo middle class na umepoteza touch na ground, njoo chini huku mkuu, Sina gari mimi ni mtu wa daladala, na kila siku tunashuhudia jinsi hawa traffic officer's wanavyuchukua rushwa left right, wewe endelea kutumia gari ya baba yako na hope's aliipata kihalali na sio kudhulumu poor3of the poorest,...eti sifungi mkanda!yes gari Sina mkuu!!
Kwahiyo kama ni kazi hivyo uvunje sheria tu au?Huu ni upuusi kama upuusi mwingine tu.
Itambulike udereva ni kazi kama kazi zingine.
Kutozwa faini, kupelekwa mahabusu, au kupelekwa mahakamani kwa ajili ya linalosemekana kosa kazini imekaa je hii?
Kwa hakika ndiyo maana suala la katiba bora ya nchi ni suala la dharura sana. Mama ajue tunamheshimu sana ila tunataka katiba mpya.
Vinginevyo itakuwa ni mwendo huu huu wa bhooooooo bhooooooo bhooooooo. .. tu.