Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watumiwa 10 kwa makosa mbalimbali ikiwemo utapeli Kwa kutumia kampuni ya kitapeli ijulikanayo kama Manyara LBL Company Limited inayotoa huduma za kuwekeza na kukopesha fedha kinyume cha sheria na kanuni za Benki Kuu ya Tanzania huku mmoja wa watuhumiwa hao akijihusisha na ulaghai wa kingono na kuwatapeli wanawake kupitia mitandao ya kijamii.
Kamanda wa jeshi la polisi Mkoani Manyara,SACP Ahmed Makarani amesema katika tukio la ulaghai wa kingono Kijana aliyekamatwa na jeshi hilo ni Victor Onesmo (30) ambapo mtuhumiwa amekuwa akijifanya daktari kisha kuwalaghai wanawake kingono na baadaye kuwaibia simu na vitu vingine.
Pamoja na kuwalaghai wanachama wao kuwa wamewasilisha nyaraka zote BoT kwa uhakiki/ usajili . LBL mpaka sasa hawajafanya hivyo. Wanachama jiandaeni kisaikolojia jamaa wanawapuna kindezi dakika za jioooni kwa mgongo wa ku-upgrade
Pamoja na kuwalaghai wanachama wao kuwa wamewasilisha nyaraka zote BoT kwa uhakiki/ usajili . LBL mpaka sasa hawajafanya hivyo. Wanachama jiandaeni kisaikolojia jamaa wanawapuna kindezi dakika za jioooni kwa mgongo wa ku-upgrade
Millard Ayo ni mfanyabiashara,wewe ukitolewa kafara Haina shida,lakini pia kutengeneza faida ni ishu ya Dunia na ya mtu husika,wewe bakia ulipo na yeye abakie alipo,Mimi nilikuwa na shamba pori tayari nimelihudumia, na wakati naona maelezo yako nimefurahi, sababu kila mtu na maisha yake.Wengine wameoa sababu wanaweza toa kodi ya meza kwa sasa,lakini pia wewe ukisikia kitu kinaitwa AI jua kuwa dunia imefika mbali,pia tunakoelekea baadhi ya serikali zitapitwa na wakati miongoni mwake hii ya uchumi wa blue. Ahsante