Jeshi la polisi Manyara linawashikilia watu 10 wakiwemo Watumishi 9 wa LBL Manyara

Wanasema hivi.

Kwa mujibu wa kanuni husika za BOT (Benki Kuu ya Tanzania), akaunti zote za wafanyakazi zinatakiwa kushirikiana na uhakiki na usajili wa akaunti. Amana inayohitajika ili kuwezesha akaunti inakusudiwa kuthibitisha utambulisho wa mwenye akaunti na kuhakikisha kuwa akaunti inafanya kazi kama kawaida chini ya usimamizi wa BOT.

Kiwango chako cha sasa ni P3, kiasi cha kuwezesha: 270000 TZS
Tafadhali kumbuka:

Kiasi cha kuwezesha ni 50% ya amana ya kiwango cha mfanyakazi. Amana hii si ada ya ziada, bali ni hatua muhimu kwa kuwezesha akaunti na uthibitishaji wa utambulisho. Akaunti ikishaanza kutumika, fedha za kuwezesha zitarejeshwa kwenye salio la akaunti yako, na shughuli za kawaida na uondoaji zitarejeshwa kwa usawa wakati huo. Sharti hili linatekelezwa kwa mujibu wa kanuni za udhibiti za BOT, zinazolenga kuhakikisha usalama na utiifu wa akaunti yako. Asante kwa uelewa wako na ushirikiano!
 
Hawa jamaa wa lbl wanasema tayari wameshaweka sawa kati yao na BoT, je ni kweli? Tutaamini vipi? Na kwanini wanasema tulipie tena 50% ya daraja letu ili tuweze kufanya activation? Ila mm sina pingamizi, kama wamesharuhusiwa wafungue basi ofisi zao tuweze kulipa hiyo activation fee.
Nadhali walikuwa na ofisi ambazo walikamatwa kwasababu ya kutotii sheria za BoT, sasa kama wameshaweka sawa nadhani hata ofisi zao zitakuwa wazi sasa au?
 
Mnaibiwa hakuna mazungumzo yoyote kati ya lbl la bot. Wanataka kuwapiga tena. Ile picha ya martinez ni kababu kana kipindi chake cha mambo sijui ya imani. Hiyo picha wamewawekea eti kamefika tanzania kaliipost 2020 kwenye page yake ya instagram.
Acheni ufala mnapigwa pigwa kama mang'ombe. Watanzania wamevamia page ya babu wa watu wanamwita tapeli huku hata hana habari.
Lbl ni ponze scheme, tangu lini bot ikajadiliana na waanzilishi wa ponze scheme.
 
Hawa jamaa wa lbl wanasema tayari wameshaweka sawa kati yao na BoT, je ni kweli? Tutaamini vipi? Na kwanini wanasema tulipie tena 50% ya daraja letu ili tuweze kufanya activation? Ila mm sina pingamizi, kama wamesharuhusiwa wafungue basi ofisi zao tuweze kulipa hiyo activation fee.
Nadhali walikuwa na ofisi ambazo walikamatwa kwasababu ya kutotii sheria za BoT, sasa kama wameshaweka sawa nadhani hata ofisi zao zitakuwa wazi sasa au?
Ubongo umeweka wapi mkuu...?
 
Yaani BOT iwape kibali watu wanaofanya Ponzi scheme? (DECI)
 
Back
Top Bottom