Lini watafanya doria na simba?Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.
Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.
Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Hao dawa yao upupuKamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.
Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.
Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Maskini wenye uniformKamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.
Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.
Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Ni bora umalizie uzee salama kwa kumeza vidonge vyako vya presha kwa amani, Kwa umri wako machafuko unayoyataka yakitokea siku hiyo tarehe 29 hutatoboa nusu saaHii kitaalam tunasema "mtu mzima hatishiwi nyau".
Wanajichosha tu, hakuna maandamano ardhini labda wafanye doria mitandaoni huko yatakuwepoKamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.
Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.
Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.
Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.
Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Halafu tu umbwa twenyewe kama ni tuumbwa koko vile! Huto twa mbele ndiyo kabisaa, tumefyata na mkia! Huto tuumbwa tuliokaa, na twenyewe tunaonekana tumejichokea tu kama huto tubosi twao! Tunaonekana tunahemea juu juu, halafu kama tuna njaa! Aaah beeh! Hamuna kitu hapo.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.
Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.
Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Hao jamaa siyo kwamba hawana uwezo. Shida ni kwamba kabla ya kuchukua hatua, unakuta simu imeingia kutoka juu ya kukutaka kuachana na uchunguzi. Na badala yake unaambiwa utoe tu tamko la kuzugia (lile la "tunaendelea kufanya uchunguzi""); na baada ya muda misukule itasahau! Na maisha yataendeleaMimi nimgeawakubali kama wangeweza kuwapata waliomuua Mdude Nyagali.