GE2025 Jeshi la polisi Mbeya wafanya doria ya miguu na Mbwa, maeneo yote ya mkoa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.

Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
1761029182688.png
 
Lini watafanya doria na simba?
 
Mbona huku kwetu Mbalizi sijawaona? Nimeulizia pia Mwakaleli, Kyela na kwingine kwingi tu nako - bila bila.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.

Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Hao dawa yao upupu
 
Maskini wenye uniform
 
Hii kitaalam tunasema "mtu mzima hatishiwi nyau".
Ni bora umalizie uzee salama kwa kumeza vidonge vyako vya presha kwa amani, Kwa umri wako machafuko unayoyataka yakitokea siku hiyo tarehe 29 hutatoboa nusu saa
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.

Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Wanajichosha tu, hakuna maandamano ardhini labda wafanye doria mitandaoni huko yatakuwepo
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.

Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.

Hivi hivyo VIMBWA vitatu ndiyo vitatisha Wananchi wote wa Mbeya?

Hawa watu wanampango wa kusababisha vurugu siku ta uchaguzi ili waoate sababu ya kuua watu bila sababu ya mdingi. Watakuwa wameshanogewa na damu.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Akizungumza mara baada ya doria hiyo, Kamanda Kuzaga amesema kuwa hali ya usalama ya Mkoa huo ni shwari na katika maeneo yote waliyopita Wananchi wanaendelea na shughuli zao katika hali ya Amani na Utulivu.

Aidha, Kamanda Kuzaga amesisitiza wananchi kujitokeza na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 kwani Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Halafu tu umbwa twenyewe kama ni tuumbwa koko vile! Huto twa mbele ndiyo kabisaa, tumefyata na mkia! Huto tuumbwa tuliokaa, na twenyewe tunaonekana tumejichokea tu kama huto tubosi twao! Tunaonekana tunahemea juu juu, halafu kama tuna njaa! Aaah beeh! Hamuna kitu hapo.
 
Mimi nimgeawakubali kama wangeweza kuwapata waliomuua Mdude Nyagali.
 
Hao jamaa siyo kwamba hawana uwezo. Shida ni kwamba kabla ya kuchukua hatua, unakuta simu imeingia kutoka juu ya kukutaka kuachana na uchunguzi. Na badala yake unaambiwa utoe tu tamko la kuzugia (lile la "tunaendelea kufanya uchunguzi""); na baada ya muda misukule itasahau! Na maisha yataendelea
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom