Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wanabodi,
Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ).
Askari huyo alitoweka tarehe 08/08/2024 wakati akihudhuria mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga Uchumi Dunga.
Askari huyo alitoweka akiwa msituni karibu na chuo hicho.
Soma pia: Jeshi la Polisi la Polisi lamjibu Wakili Mwabukusi na wanaharakati kuhusu mamlaka waliyonayo katika kuzuia maandamano
Taarifa hiyo ilidokeza kuwa baada ya uchunguzi wa muda mrefu, tarehe 26/09/2024 mwili wa askari huyo ulipatikana ukiwa umeharibika vibaya msituni, ukitambulika kwa mavazi aliyokuwa amevaa siku ya kupotea.