Mafyangula JF-Expert Member Joined Jan 16, 2025 Posts 557 Reaction score 1,039 Oct 5, 2025 #1 Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeandaa mazoezi ya pamoja ya utayari kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo. Mazoezi hayo yalilenga kuimarisha mshikamano, mawasiliano, na uwezo wa pamoja katika kutekeleza majukumu ya kulinda raia na mali zao. Your browser is not able to display this video.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeandaa mazoezi ya pamoja ya utayari kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo. Mazoezi hayo yalilenga kuimarisha mshikamano, mawasiliano, na uwezo wa pamoja katika kutekeleza majukumu ya kulinda raia na mali zao. Your browser is not able to display this video.
nikuweke JF-Expert Member Joined Sep 23, 2025 Posts 370 Reaction score 840 Oct 5, 2025 #2 Captain anawazoom tu 😅