DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu Kamishna Msaidizi wa Polisi Edith M. Swebe Oktoba 20, 2025 ametoa wito kwa Wananchi na Wakazi wa Mkoa wa Simiyu kuelekea uchaguzi Mkuu kuwa utafanyia kwa amani na utulivu hivyo kila Mwananchi ahakikishe analinda amani.
Rai hiyo imetolewa kupitia kituo cha redio ya NyanzaFm iliyopo Wilaya ya Bariadi Mkoani humo.
Rai hiyo imetolewa kupitia kituo cha redio ya NyanzaFm iliyopo Wilaya ya Bariadi Mkoani humo.