tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Swali la kujiuliza_je huwa wanafanyanga hayo mazoezi mara kwa mara?Unafiki ni mwingi nchini kuliko amani.
Hakuna kitu ni mikwara uchwara tu.Swali la kujiuliza_je huwa wanafanyanga hayo mazoezi mara kwa mara?
Jeshi la polisi wanatumia nguuuvu kuubwa kwenye mambo madogo je ni kwa maslahi ya nani?Hakuna kitu ni mikwara uchwara tu.
Acha waendelee kujitoa jasho sisi tumekaa tunawazoom tu.Jeshi la polisi wanatumia nguuuvu kuubwa kwenye mambo madogo je ni kwa maslahi ya nani?
Jibu unalijua!
Mtu mwenye akili mwenyewe ndio kama wewe?Hii nchi ukipata upenyo wa kuhama fanya chapu
Nchi ya kingese sana hii kwa mtu mwenye akilii kubwa hutoboi!