Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi.
Soma hii taarifa yao hapa chini
Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi kuzithibitisha.
Taarifa za kipolisi zinazohusu michakato ya kisiasa zina lengo moja kubwa. Kulinda maslah ya CCM na kukandamiza uhuru nchini.
Wambura (chinja chinja) aliwahi kutoa tuhuma za UHAINI dhidi ya wanaharakati waliosimama kupinga mkataba wa hovyo wa DP World. Wakawakamata na kuwaandalia mashtaka ya uhaini ili wauawe kisiasa na kimaisha.
Jeshi la Polisi ni alama ya inayotumiwa na wanasiasa wetu kwenye Katiba na ubakaji wa demokrasia nchi.
Polisi badala ya kuwaonya TAMISEMI kupanga ama kuashiria uvunjaji amani nchini, ni kama imetoa onyo dhidi ya wote watakaolalamika matendo ya ofisi ya Rais kuingilia mchakato wa kupata wagombea wa vyama vyote kwenye uchaguzi wa 27 Novemba.
Nchi hii inahitaji mapinduzi ya kifikra na kisiasa ili kuondokana na kansa zinazolimaliza Taifa. Jeshi la polisi ni fedheha sana dhidi ya Katiba, sheria na Haki nchini.
Wananchi tuchukue hatua
YANA MWISHO HAYA
Mshana Jr
Pascal Mayalla
Lucas Mwashambwa
Ritz