GE2025 Jeshi la polisi Njombe lafanya mazoezi ya pamoja na vyombo vingine vya ulinzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Operesheni ofisa mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakary Kunga Oktoba 17, 2025 ameongoza jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kufanya mazoezi ya pamoja kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanya matembezi ya pamoja kwa kutembea maeneo mbalimbali mkoani Njombe.

Aidha,Lengo la Matembezi pia kuimarisha ushirikiano baina ya Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe na vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani humo ili kuongoza uimara na utimamu wa mwili na afya wakati katika kutekeleza majukumu yetu.




​
 
Tarehe 29 watu wakiingia kufanya mazoezi na maandamano barabarani wawaachw pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…