Mzalauliwa
Member
- Jul 31, 2014
- 95
- 35
Jeshi la polisi Tanzania hasa ngazi ya juu, Nyarugusu Geita kunatisha kwa mauji ya watu kuchinjwa.
Nyarugusu Geita ni kata Ambayo inapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Geita vijijini wakazi wake wengi wamezungukwa na sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini.
Shughuli zake kuu za watu kujipatia kipato ni kilimo pamoja na uchimbaji mdogo mdogo wa madini ya dhahabu.
Kata hii kwa upende wangu ndo kata ya kwanza Tanzania na Dunia nzima Ambayo inamatukio mazito kuliko sehemu yoyote Duniani
Matukio hayo makubwa ni Matukio ya watu kuchinjwa kinyama bila huruma
Kwa haraka haraka mpaka tunaenda Kumaliza mwaka zaidi ya watu 12 wamechinjwa na wengine kutupiwa katika madimbwi ya maji.
Kwa kuwa ni sehemu ndogo hakuna mtu anayepaza sauti na kukemea Matukio haya na hatuyasikii katika vyombo vya Habari badala yake yanafichwafichwa
Kwa upande wangu siwalaumu jeshi la polisi pengine kuna maslahi Ambayo watu wenye Uelewa mkubwa myatizame
Kuanzia mtendaji wa kijiji yapaswa wabadilishwe Askari hasa mkuu wa kituo pamoja na wapelelezi wabadilishwe Wako busy na kutafuta dhahabu kuliko kudili na kulinda raia
Kama hamuamini tumeni ma spy watawapa majibu ni hayo tu
Kunatisha wazeee
Ndani ya week moja watu wawili wamechinjwa.