DOKEZO Jeshi la Polisi Singida fanyieni kazi kero hii, kuna wahalifu wanaowaliza abiria wa Bajaji

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mliogwa

Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
37
Reaction score
37
Wiki iliyopita mida ya jioni nilikuwa maeneo ya Msufini Manispaa ya Singida ambapo rafiki yangu niliyemfata ni Bodaboda, hivyo nikakaa kijiweni kwao kwa muda. Tukiwa hapo akaja boda mwenzao ambaye muda mrefu walikuwa wakimtaja na kusema amechelewa kufika kwa siku hiyo.

Jamaa alikuwa mnyonge kwasababu jana yake aliondoka akiwa na wasiwasi mkewe hakuwa anapatikana kwenye simu na si kawaida yake. Alipofika wenzake wakauliza vipi wife ulimpata na mbona umechelewa na simu hujapokea.

Alichosimulia kikaniumiza na kunifikirisha sana. Anasema mkewe alikwenda town jana yake na alimuacha mtoto wao mchanga alikuwa na ishu ya kufanya mara moja, hivyo akaacha mtoto amelala na yeye akakimbia Mjini.

Alivyomaliza jambo lake akachukua Bajaji kurud nyumbani mida ya saa moja usiku.

Kwenye Bajaji kulikuwa na watu wawili dereva na mtu mwingine ambaye alikuwa amekaa mbele na dereva. Wakaanza safari yule dada akashangaa wanaenda sehemu tofauti akamwambia kuwa yeye haendi huko na kwamba ameacha mtoto mdogo nyumbani, hivyo kama wanasafari nyingine yeye wamshushe. Wala hawakumsikiliza wakaenda nae hadi sehemu panaitwa Kisaki nje ya mji kidogo. Wakamwacha hapo na kumuibia simu na pesa alizokuwa nazo.

Wakati akielezea hayo jamaa mwingine akasema kuna mama mmoja naye alifanyiwa, hivyo alichukua Bajaji stendi ya zamani kwenda Unyankindi. Jamaa wakaenda nae hadi Kititimo njia ya kwenda Arusha, wakamwacha hapo na kumuibia pesa milioni moja, simu na vitu vyake vya biashara alizokuwa nazo.

Mmoja wao akashauri kuwa kwasasa si salama kuchukua Bajaji usiku kwa vile wahalifu wamebuni njia mpya ya kuumiza raia.

TUNALIOMBA JESHI LA POLISI MKOA WA SINGIDA WAFUATILIE JAMBO HILI KWA KARIBU SANA KWA AJILI YA USALAMA WETU.
 
Habari boss kama hautojali tutumie mawasiliano ya huyo bodaboda 0745963837
 
Back
Top Bottom