GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jeshi la Polisi Nchini limewataka wananchi waliotoa taarifa za kuibiwa simu na kutozwa fedha ili watafutiwe simu zao waende kwa Makamanda wa Polisi Mikoa (RPCs), Wakuu wa Upelelezi (RCOs) au wakuu wa upelelezi Wilaya (OC-CIDs) kwa ajili ya kuchukuwa hatua ili askari hao waliofanya utovu wa nidhamu na uahlifu huo waweze kuchukuliwa hatua stahiki.
Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema kuwa kitendo cha kudai watu fedha ni tabia ya mtu binafsi na siyo maelekezo ya Jeshi la Polisi.
Taarifa: tbc_online
Mbona hamtuombi Watanzania tuwataje Askari wenu Wanaobambikia Watu Bangi Mifukoni mwao au wanaoshirikiana na Majambazi na Wauza Dawa za Kulevya?