Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu.
Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi hawezi kuwa nayo na zile silahaa kwa mtu kama afande muriro mstaafu japo yupo kazini mara moja kwa sifa zake,angetoka na kuonesha maajabu yake.
Leo CCTV camera mnamuweka mwenye vifaa kuwa gaidi.
Ni kwamba sasa sheria zenu zinaonesha ukijua mnafanya kupitia serikali yenu sisi ndio wahusika namba moja.
Mkuu, ndani ya Jeshi la Polisi na TISS kumejaa vijana wa UVCCM pamoja na Green Guards, ambao ndiyo wamevigeuza vyombo hivi kufanya matendo ya kifedhuli na kidhalimu kila siku.
Tatizo jeshi la polisi limeamua kukisaidia chama cha siasa kilichofeli, chama kisicho na support ya watanzania kimebaki kutegemea support ya mabomu ya machozi.