Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hongereni Kwa kiwa pro active,kuliko like mlochokifanya Mbeya majuzi!!

Sasa msizuie mikutano Yao Bali muilinde ifane ili ajenda ziwafikie wananchi!!
 
Hivi hawa ni polisi kweli..?
 
Yale yale ya enzi za Mahita na container fake la majambia ya CUF.
 
Acheni kutafuta kiki zisizo na maana, elekezeni nguvu kwenye kuchunguza kama waganga wa jadi wanaua na kuzika watu huko mikoani , achaneni na chadema, tunajua mnaitumie chadema ili kuwaonyesha wanasiasa kwamba mnafanya kazi kwa weledi lli kuficha udhaifu wenu kwenye tukio la mganga kuua na kuzika watu 10 bila ninyi kupata taarifa, mnataka kuzima hii soo kwa kuitumia chadema,.

Katika historia ya uanzishwaji wake chadema haijawahi kuua hata inzi leo kwanini nguvu kubwa mnapeleka huko, nendeni kwa waganga wanaua na kuzika ninyi mkiwa mnahangaika na chadema ambao hawana madhara kwa kiumbe yoyote nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…