impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Siku ya tarehe 2, August, 2016 nilikiwa katika mji wa Mganza wilaya ya Chato nilishuhudia mfanya Biashara akitekwa na kuibiwa pesa million nane 8 Tshs.
Mfanya biashara huyo bwana Kamba Tassian alipigwa na kutekwa na kunyanganywa pesa baadae alienda kituo cha Police kutoa taarifa lakini hakuna msaada wowote alioupata mpaka sasa kutoka kwa police wala hakuna hata police alifika eneo la tukio ili kujua wapi waanzie kwa uchunguzi.
Police walishindwa hata kufika eneo la tukio kuona ni wapi waanzie uchunguzi wao.
Mfanya biashara huyo wa Duka na wakala wa simu Tigo, Voda, Airtel Money, CRDB Bank nilimuonea huruma nikamsindikiza police ingawa yeye alikua hataki kwenda kwa sababu police Mganza hawana msaada tulifika aliandika maelezo tukaondoka niliiendelea kumsisitiza aende police alienda mpaka sasa hakuna msaada.
Police mna aibisha Rais mchapa kazi kama JPM aliyepanga safu zote vema sasa nyumbani kwake kunakuwa shida Kamanda wa police Geita wanakuanguasha kituo cha Mganza na wengineo ambao wanafanya kwa masilahi binafsi.
Jukumu la kuhakikisha usalama wa inchi yetu ni wetu sote raia na police lakini polisi mnatuangusha.