GE2025 Jeshi la polisi, wadau watoa elimu ya usimamizi wa uchauguzi kwa vyombo vingine vya ulinzi Manyara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kipindi hiki mafunzo yamekuwa mengi sana, ujakaa sawa unasikia polisi na wanajeshi wamefanya mazoezi ya pamoja. Hizi bwebwe zote za nini jamani?
===================
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na maafisa uchaguzi jimbo la Babati Mjini na Vijiji Mkoani humo Oktoba 21, 2025 wametoa elimu ya usimamizi wa uchaguzi Mkuu kwa askari wa vyombo vingine vya ulinzi na usalama Mkoani humo ikiwa ni mpango mkakati wa Jeshi hilo kwa kushirikiana na vyombo hivyo kuhakikisha uchaguzi unasimamiwa kwa kuzingatia kanuni na sheria za uchaguzi ili kuimarisha usalama na amani nchini

Elimu hiyo imetolewa katika bwalo la maafisa wa Polisi Babati mkoani hapa iliwahusisha Bashir Kinyunyu afisa uchaguzi Jimbo la Babati Mjini, Januari Bikul afisa Uchaguzi Babati Vijijini na Saimon Mumbe Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Babati Mjini kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara imelenga kuwaanda askari wa vyombo vya ulinzi na usalama kusimamia uchaguzi wa mwaka huu kwa weledi

 
Only in Tanzania is this even thinkable! Yaani constitutional right ya watu kuandamana inamnyima kabisa usingizi mtawala. Sasa hivi mtawala anahangaika kuliko hata yule mtu anayepanga kutumia haki yake ya kikatiba ya kuandamana. Maninazake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…