Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Katika siku za karibuni kumejitokeza tabia kwa baadhi ya wat kupitia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii, wakidai kuwa wametishiwa maisha kwa sababu hi na ile iambo ambalo linawajengea wananchi hofu na maswali yasiyo ya msingi.
Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa wito kwa jamii kuwa endapo mtu umetishiwa maisha, afike Kituo cha Polisi kutoa taarifa ili wasilishe ushahidi ulionao kwa ajili ya uchunguzi na mhusika wa vitisho hivyo akamatwe kwa mujibu wa sheria, na huo ndio utaratibu wa kisheria.
Jeshi la Polisi linatoa tahadhari kwa wale wachache wanaoendeleza mtindo ambao si wa kisheria kutoa taarifa zenye nia ya kuzusha na kuwajengea hofu wananchi kuacha tabia hiyo na badala yake wafuate taratibu za kisheria ikiwemo kutoa taarifa vituo vya Polisi.