Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
#HABARI Jeshi la Polisi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, limelalamikiwa na mfanyabiashara Rehema Mwagao, kwa kitendo cha kumuachia mhaliifu kinyemela aliyetuhumiwa kutapeli fedha kiasi cha Dola 25,847.50 (sawa shilingi milioni 48.6). Polisi Kahama walalamikiwa kumuachia mtuhumiwa https://t.co/4nJUJUHJep