SI KWELI Jeshi la Rwanda lathibitisha Paul Kagame kuwa kwenye hali mbaya ya kiafya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Wanaweka mambo sawa ili watangaze tu kuwa kafariki ana muda yupo kwenye majokofu ya Ulaya alikua anawapiga mkwara wazungu anaumwa harafu anaenda kutibiwa kwao kazi kweli kweli wao ndio walikua watu wa kwanza kutoa hiyo siri harafu wamekaa kimya kama hawajui kitu.
 
Keshavuta tayar uyo,
Mnaandaliwa kisaikolojia Kwa yajayo
 
Mabaka wa >528625 na 226197 hawana huo uwezo bosi.
 
Nahisi aliwaambia msije mkanifanyia kama alivyofanyiwa jirani na wananchi wake
 
Ndio maana kachero genta yuko busy sana itakuwa wanapanga safu ya uongozi baada ya jamaa ku rest in internal peace
 
WE CONFIRM THAT RECENT REPORTS REGARDING HIS CONDITION ARE ACCURATE. THE PRESIDENT'S CONDITION IS VERY UNSTABLE AT THIS TIME,

AND HE REMAINS UNDER INTENSIVE MEDICAL CARE BY A SPECIALIZED TEAM.
WE CALL ON ALL RWANDANS AND FRIENDS OF RWANDA TO STAY UNITED AND TO LIFT UP OUR HEAD OF STATE IN THEIR PRAYERS DURING THIS CRITICAL PERIOD.
WE ALSO ENCOURAGE THE POPULATION TO REMAIN CALM. THE INSTITUTIONS OF THE REPUBLIC REMAIN FUNCTIONAL, AND THE RDF STANDS FULLY COMMITTED TO SAFEGUARDING PEACE, ORDER, AND NATIONAL STABILITY.
WE WILL CONTINUE TO PROVIDE OFFICIAL UPDATES AS APPROPRIATE.
END


Hio very ina maana ni RIP..
 
Je taarifaa ya Jeshi la Rwanda kukiri kuwa hali ya Rais Kagame ni critical ,ni ya kweli?
 

Attachments

  • Screenshot_20250624-101118.png
    485.9 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…