SI KWELI Jeshi la Rwanda lathibitisha Paul Kagame kuwa kwenye hali mbaya ya kiafya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kuna nyakati huwa napata mafunzo kwenye haya maisha kuwa pesa haiwezi kununua uhai,unashangaa mtu anaishi kule kijijini mlo mmoja au miwli kwa siku lakini mpaka anagota miaka 100,lakini Rais ambaye anapimiwa mpaka chakula na madaktari lakini huwa wengi wanakuwa na matatizo ya kiafya...
 
Wamekanusha Kupitiq ukurusa wao Rasmi wa X
 

Attachments

  • IMG-20250624-WA0013.jpg
    72 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…