Jeshi la S.A kurudi kwao, kupitia Kigali

Jeshi la S.A kurudi kwao, kupitia Kigali

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Baada ya AFC/M23 kuomba serikali ya Afrika kusini kuondoa wanajeshi wake, na nchi hiyo ikakataa, hatimae ombi la M23 limekubaliwa, na njia pekee iliyotolewa(corridor) ikiwa ni Rwanda, jumapili ya leo, Februari 23, 2025, wanajeshi hao watasafilishwa kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe, uliopo Kigali nchini Rwanda.

Hatimae, rais wa DRC ataelewana na AFC/M23 tu.
 
Back
Top Bottom