Hii lineup ina wanajeshi wawili tu. Wale wengine watatu ni bloated civilians!Makubaliano hayo yatajikita katika,
Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha mahema tisa ya dharura kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania ili kuimarisha uwezo wa Tanzania wa kukabiliana na majanga. Mahema haya yatawawezesha wahudumu wa huduma za kwanza kuyafikia na kujipanga kwa haraka katika maeneo yenye dharura kuwahudumia watu walioathiriwa na moto au majanga mengine ya asili.
Makabidhiano haya yanaenda sambamba na kuzinduliwa kwa Programu ya Ushirikiano wa Vikosi vya Ulinzi wa Taifa vya Majimbo (State Partnership Program) kati ya Tanzania na Kikosi cha Ulinzi wa Taifa cha Jimbo la Nebraska (Nebraska National Guard). Katika nafasi yake kama Kiongozi Mkuu (Adjutant General) wa Nebraska National Guard, Meja Jenerali Strong pia ni Mkurugenzi wa Wakala wa Usimamizi wa Huduma za Dharura wa Nebraska. Programu ya Ushirikiano wa Vikosi vya Ulinzi wa Taifa vya Majimbo unatoa fursa za kupanua ushirikiano ili kuimarisha uwezo wa kukabiliana na dharura na majanga.
Vibaraka hawaamini kinachotokea
View attachment 3557528
View attachment 3557529
Hauoni aibu kupewa msaada wa mahema?Makubaliano hayo yatajikita katika,
Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha mahema tisa ya dharura kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania ili kuimarisha uwezo wa Tanzania wa kukabiliana na majanga. Mahema haya yatawawezesha wahudumu wa huduma za kwanza kuyafikia na kujipanga kwa haraka katika maeneo yenye dharura kuwahudumia watu walioathiriwa na moto au majanga mengine ya asili.
Makabidhiano haya yanaenda sambamba na kuzinduliwa kwa Programu ya Ushirikiano wa Vikosi vya Ulinzi wa Taifa vya Majimbo (State Partnership Program) kati ya Tanzania na Kikosi cha Ulinzi wa Taifa cha Jimbo la Nebraska (Nebraska National Guard). Katika nafasi yake kama Kiongozi Mkuu (Adjutant General) wa Nebraska National Guard, Meja Jenerali Strong pia ni Mkurugenzi wa Wakala wa Usimamizi wa Huduma za Dharura wa Nebraska.
Soma Pia:Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji
Programu ya Ushirikiano wa Vikosi vya Ulinzi wa Taifa vya Majimbo unatoa fursa za kupanua ushirikiano ili kuimarisha uwezo wa kukabiliana na dharura na majanga.
Vibaraka hawaamini kinachotokea
View attachment 3557528
View attachment 3557529
Kwani ulivyowrka public mara Ile huku jua Kuna pm weka mavi tunuse acha zalo weweNakutumia PM
Wakwetu wanaonekana wazembe 😂😂😂Makubaliano hayo yatajikita katika,
Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha mahema tisa ya dharura kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania ili kuimarisha uwezo wa Tanzania wa kukabiliana na majanga. Mahema haya yatawawezesha wahudumu wa huduma za kwanza kuyafikia na kujipanga kwa haraka katika maeneo yenye dharura kuwahudumia watu walioathiriwa na moto au majanga mengine ya asili.
Makabidhiano haya yanaenda sambamba na kuzinduliwa kwa Programu ya Ushirikiano wa Vikosi vya Ulinzi wa Taifa vya Majimbo (State Partnership Program) kati ya Tanzania na Kikosi cha Ulinzi wa Taifa cha Jimbo la Nebraska (Nebraska National Guard). Katika nafasi yake kama Kiongozi Mkuu (Adjutant General) wa Nebraska National Guard, Meja Jenerali Strong pia ni Mkurugenzi wa Wakala wa Usimamizi wa Huduma za Dharura wa Nebraska.
Soma Pia:Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji
Programu ya Ushirikiano wa Vikosi vya Ulinzi wa Taifa vya Majimbo unatoa fursa za kupanua ushirikiano ili kuimarisha uwezo wa kukabiliana na dharura na majanga.
Vibaraka hawaamini kinachotokea
View attachment 3557528
View attachment 3557529
Wadanganyika mumemkubali Mfanya Biashara mkubwa duniani aka Mr Trump alete jeshi lake hpo Bongo?Subirini madevu atakavyo wafanya. atawarushieni Makombora ya masafa marefu kutoka kwake mpaka hapo jijini Dar kazi kwenu. Uarabuni kunawaka moto itakuwa nyinyi hamna kinga yoyote ile.Makubaliano hayo yatajikita katika,
Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha mahema tisa ya dharura kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania ili kuimarisha uwezo wa Tanzania wa kukabiliana na majanga. Mahema haya yatawawezesha wahudumu wa huduma za kwanza kuyafikia na kujipanga kwa haraka katika maeneo yenye dharura kuwahudumia watu walioathiriwa na moto au majanga mengine ya asili.
Makabidhiano haya yanaenda sambamba na kuzinduliwa kwa Programu ya Ushirikiano wa Vikosi vya Ulinzi wa Taifa vya Majimbo (State Partnership Program) kati ya Tanzania na Kikosi cha Ulinzi wa Taifa cha Jimbo la Nebraska (Nebraska National Guard). Katika nafasi yake kama Kiongozi Mkuu (Adjutant General) wa Nebraska National Guard, Meja Jenerali Strong pia ni Mkurugenzi wa Wakala wa Usimamizi wa Huduma za Dharura wa Nebraska.
Soma Pia:Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji
Programu ya Ushirikiano wa Vikosi vya Ulinzi wa Taifa vya Majimbo unatoa fursa za kupanua ushirikiano ili kuimarisha uwezo wa kukabiliana na dharura na majanga.
Vibaraka hawaamini kinachotokea
View attachment 3557528
View attachment 3557529
Hapo mnavuliwa nguo.tuMakubaliano hayo yatajikita katika,

Hao wamarekani sio mabeberu tena chawa?Ma CHADEMA yakiona hivi yatanuna mpaka yapasuke.