Jeshi la Tanzania tulifikirie upya baada ya kushidwa na M23

Jeshi la Tanzania tulifikirie upya baada ya kushidwa na M23

Wewe ulishasikia jeshi la Rwanada au USA wanafanya biashara ya kusaga kokoto? 😂
Wako busy kuonea raia kwa kuvaa vipande vya nguo za jeshi!. Niliwahi kusema kama Taifa hatuna vurugu, vita wqla machafuko hawa wanajeshi WETU wanahitaji kuwa wanatafutiwq mapambano ya kirafiki na wanamgambo kama BOKO HARAMU AU M23! Itaepusha kulewa na kuvuta vitambii bure tu matokeo yake wanakuja kutuone kwenye vijibaa vyetu tukilewa .....
 
Back
Top Bottom