Jeshi la Uganda, UPDF, laingia nchini DRC

Jeshi la Uganda, UPDF, laingia nchini DRC

DRC walifanya kosa kubwa sana kuingia EAC. Wakiweza wajitoe mara moja.
Kosa lao nini? Huyu rais wa sasa ndo kaikataa EAC na sio hii tuu hata AU haitaki ndio maana katika mkutano wa Daslam walimtoa mwakilishi wa AU njee ya mkutano.
 
Kosa lao nini? Huyu rais wa sasa ndo kaikataa EAC na sio hii tuu hata AU haitaki ndio maana katika mkutano wa Daslam walimtoa mwakilishi wa AU njee ya mkutano.
Anaingiaje EAC ambako Rwanda na Uganda wanaiandama nchi yake miaka nenda rudi. Kuingia kwake EAC kumefanya hata SADC wanaomsaidiaga washindwe pa kuanzia. Kosa kubwa kwa wacongo kuingia EAC.
 
Back
Top Bottom