FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Hicho kisiwa hakikaliki.Hicho kisiwa kilikuwa chini ya mrusi..na hakuna mapambano yoyote yaliyotokea hapo... urusi ndo imeamua tu kuondoa majeshi yake ili kupisha usafirishaji wa chakula......
Mashambulizi yamekuwepo, kulingana na picha za satellite. Kuna meli ya Urusi iliyozamishwa wiki mbili zilizopita karibu kabisa na kisiwa hicho.
Lilikuwa ni suala la muda mfupi tu kabla ya Urusi kuondoka hapo. Ni hasara!