Jeshi la Ukraine laweka hadharani picha ya mwanajeshi wake alitoka matekani Urusi.

Aisee! Hakuna jenerali mbele ya njaa! Noma sana. Ila the good thing is ata-recover soon. Ndio gharama za kuifia nchi yako hizo.

Unajuaje?? Kashapewa sumu labda. What about after shock? Mental issues
 
Uongo mtupu na ni propaganda pro max hao ni watu wawili tofauti
 
Aisee! Hakuna jenerali mbele ya njaa! Noma sana. Ila the good thing is ata-recover soon. Ndio gharama za kuifia nchi yako hizo.
Inategemea mateso ya aina gani .Kuna uwezekano akawa zezeta kama wengi wanaoachiwa Guantanamo. Mateso ya kisaikolojia , short za umeme , Sindano za usingizi vipigo , Kuingiliwa na wanyama km mbwa nk . Huyo hataweza hata kusimulia chochote
 
Kwa my Ukraine yupo.jela ya Russia na warussia wamewaruhusu wa Ukraine waje wampige picha mfungwa Tena kwa adui wao, na huku ameweka poz, au mfungwa aruhusiwe kuwa na smartphone fikirini Mara 2 kabla hamjapost vitu humu
 
We nae acha ushamba.hao mateka wameachiwa baada ya kubadilishana POW wa pande zote mbili.
 
Aisee! Hakuna jenerali mbele ya njaa! Noma sana. Ila the good thing is ata-recover soon. Ndio gharama za kuifia nchi yako hizo.
Ni kweli, njaa haina baunsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…