Duh kama akili za Sunday school ndio hizi ...Mbona ndege za mizigo kila kukicha zinaIngia na kutoka kama kawaida? Unadhani Israel inategemea bandari pekee, Israel Bado inafanya biashara na mataifa mengi tu kwasasa.
Alafu ni lazima marekani kuisaidia Israel na sio useme Israel inaombaomba, usifananishe na zelensky ambae bado anamudu vita kwa silaha za kuombaomba.
Nani wakuzifunga hizo bahari? Houth?Asilimia 90 ya biashara ya Israel inategemea bahari 2 ,bahari ya medetirania ,na bahari nyekundu , bahari nyekundu ndo imefungwa na wahuthi ,hivyo sasa hivi Israel inategemea bahari ya medetirania na yenyewe ikifungwa watakufa na njaa.
Mulize mvaa Dera wa Iran majibu anayoItaanza lini binyau
Mliokulia madrasa ndio mnaakili sioKama ndo akili yako ipo hivi ..sishangai kushabikia taifa la Israeli eti ni taifa lamungu pumbafu kabisa ..huwezi kutofautisha mzigo wa ndege na meli
Hapo hizbollah hadi leo Israel panamtoa jasho.wWakimalizana Lebanon wanahamia yemen aandaeni tu hashtag #freeYemen ,mlianza kwa kupongeza hamas mkaibuka na #freepalestina mkaja mkapongeza hizbollah mkaibuka na freelabanon saiv mnapongeza houth mtakuja na #freeyemen ni vile tu hamjui kusoma trends