Jeshi la Ulinzi la Yemen laionya Israel kuwa hata kama inauza assets zake za baharini ili kukwepa vikwazo vya jeshi la Yemeni, Vitachapwa tu!

Jeshi la Ulinzi la Yemen laionya Israel kuwa hata kama inauza assets zake za baharini ili kukwepa vikwazo vya jeshi la Yemeni, Vitachapwa tu!

Mbona ndege za mizigo kila kukicha zinaIngia na kutoka kama kawaida? Unadhani Israel inategemea bandari pekee, Israel Bado inafanya biashara na mataifa mengi tu kwasasa.

Alafu ni lazima marekani kuisaidia Israel na sio useme Israel inaombaomba, usifananishe na zelensky ambae bado anamudu vita kwa silaha za kuombaomba.
Duh kama akili za Sunday school ndio hizi ...
 
Asilimia 90 ya biashara ya Israel inategemea bahari 2 ,bahari ya medetirania ,na bahari nyekundu , bahari nyekundu ndo imefungwa na wahuthi ,hivyo sasa hivi Israel inategemea bahari ya medetirania na yenyewe ikifungwa watakufa na njaa.
Nani wakuzifunga hizo bahari? Houth?

Subiria Israel amalizane na vikaragosi vya karibu ya mlangoni kwake kwanza.
Houth watazabuliwa kama ngoma.

Kakikundi kadogo sana hakawezi kuzuia biashara ya mabilioni kisa wanamtetea Allah kisha Israel na dunia wakae kimya
 
wWakimalizana Lebanon wanahamia yemen aandaeni tu hashtag #freeYemen ,mlianza kwa kupongeza hamas mkaibuka na #freepalestina mkaja mkapongeza hizbollah mkaibuka na freelabanon saiv mnapongeza houth mtakuja na #freeyemen ni vile tu hamjui kusoma trends
 
Hapo hizbollah hadi leo Israel panamtoa jasho.
Huko Yemen ndio asiguse.
Houthi walivamiwa kijeshi na Saudi Arabia ikisaidiwa na USA ila hapo walipashindwa.
Aisee bora ukutane na hizbollah kuliko houthi.
Muulize Saudi arabia atakwambia.
Walikodiwa hadi Al qaeda wakawamalize houthi ila alqaeda kwishnei na wakakimbia.
 
Back
Top Bottom