kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
niliweka tangazo kuwa nauza vitu vya ndani kwakuwa nasafiri tarehe za safari nijumanne ya wili hii so time imefika mwenye kuhitaji nikama ifuatavyo na bei hii ndi yakuuzia nataka mtu wa sireous awe na 400000/=tu
-kitanda cha 5/6na godoro lake
-sofa ya watu wawili
-vyombo
-fan
-pasi
-buffer
-radio
-meza
-mapazia
nataka mtu anayechukua vyote siuzi kwa kimojakimoja vitanichelewesha ukitaka uchukua na chumba maana yake ni nabeba nguo zangu tu naacha kila kitu chumba kiko na hali nzuti kina singboard nazingira mazuri maji yapo chumba kwa mwezi 35000+umeme15000 maji unalipa pale utakapo chota bei ya ndoo ndogo100/=kubwa150/=
NIPO MABIBO GEREJI-MANDELA ROAD 0659496544
Sasa hii inahusiana kivipi na bomu la waliberali??
Si ungepeleka kule kwenye uzi wa matangazo ya biashara??